Habari za Mastaa

Rekodi za Drake na mjengo wake wenye thamani ya Bilioni 231 za kitanzania

on

Headlines za Rapper kutokea Toronto nchini Canada Drake bado zinaendelea ikiwa tangu ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Toosie Slide.

Video hiyo mpya imetayarishwa kwenye jumba lake la kısasa lenye thamani ya Dola za Kimarekani Milioni 100 ambazo ni sawa na Bilioni 231 za Kitanzania.

Wengi tunajua kwamba Drake mbali na uimbaji pia ni shabiki wa mpira wa Kikapu, sasa picha unyoitazama hapo juu ni muonekano Uwanja wa Mpira wa Kikapu (Basketball) unaopatikana kwenye jumba hilo.

Soma na hizi

Tupia Comments