Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Video: Reli ya kisasa Dar – Dodoma mambo safi, njia ya Reli yaunganishwa
Share
Notification Show More
Latest News
Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.
September 30, 2023
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
September 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Video: Reli ya kisasa Dar – Dodoma mambo safi, njia ya Reli yaunganishwa
Top Stories

Video: Reli ya kisasa Dar – Dodoma mambo safi, njia ya Reli yaunganishwa

September 27, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Shirika la Reli nchini limesema kuwa limekamilisha kuunganisha reli ya kisasa kutoka Dodoma mpaka Dar es salaam, Mkurugenzi wa Shirika hilo Masanja Kadogosa amesema hayo leo wakati wa ziara ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji (PIC) walipofanya ukaguzi wa ujenzi wa mradi huo.

Wabunge hao wametumia treni ya Mhandisi ya ukandarasi kwa njia ya reli ya kisasa kutoka Dodoma mpaka Dar es salaam huku wakisimama baadhi ya maeneo kujionea shughuli mbalimbali zinazoendelea kwenye mradi huo.

Kadogosa amesema hii inakuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya aina hiyo ya ukaguzi kwa kutumia treni ya Mkandarasi kwa kipande chote cha Dodoma hadi Dar es salaam moja kwa moja kwakuwa miundombinu ya reli kwa kipande hicho imeshakamilika.

You Might Also Like

Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.

Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Edwin TZA September 27, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2022
Next Article RC Chalamila akerwa na hili “Ni Unyama mtupu kwa hela za Serikali” (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.
Top Stories September 30, 2023
TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.
Top Stories September 30, 2023
Maboresho ya bandari kusaidia ufanisi katika kazi.
Top Stories September 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023
Magazeti September 30, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2023

September 30, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2023

September 29, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2023

September 28, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2023

September 28, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?