fB insta twitter

Alichokisema Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa Reli ya kisasa Dar – Moro

on

April 12, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa reli ya kisasa standard gauge kutoka jijini Dar es Salaam hadi Morogoro.

VIDEO: Rais Magufuli amezindua ujenzi wa Reli ya kisasa DSM-Morogoro. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments