Michezo

Pamoja na kustaafu soka Rene Higuita bado ana uwezo wa kuokoa goli kwa style yake ya Scorpion kick (+Video)

on

Golikipa wa zamani wa kimataifa wa Colombia Rene Higuita ambaye amewahi kuingia katika headlines mwaka 1995 katika mechi ya kirafiki kati ya Colombia dhidi ya Uingereza kwa stahili yake ya kipekee ya uokoaji mipira kwa stahii ya “Scorpion kick” stahili ambayo hakuna kipa ambaye amewahi kuicheza kwa ufasaha na katika mechi muhimu.

rene-higuita1_650_120812103008

Kwa sasa golikipa huyo ambaye amestaafu kucheza soka ana umri wa miaka 49 ni kocha wa makipa wa klabu ya Al Nassr amerudia tena kufundisha makipa wake namna ya kuokoa mipira hivyo. Hii sio stahili nzuri sana kwa kipa kuiga kwani kama unacheza soka la Bongo na ukafanya hivi utahitaji kutoa sababu bilioni ili watu waamini kuwa hujala rushwa.

Hii ni video ya Rene Higuita mwaka 1995 akionesha umahiri wake wa kuokoa mipira langoni kwa stahili ya “Scorpion kick”

Hii ni video ya mwaka 2015 akiwa kocha wa makipa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments