AyoTV

REPEAT: Dar es salaam inasubiria daraja la Kigamboni, tazama lilivyojengwa juu ya bahari

on

Dar es salaam inasubiria kwa hamu daraja jipya la Kigamboni linalojengwa juu ya bahari ambalo ilitangazwa kwamba linatakiwa kuanza kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2016 kurahisishia Wananchi ambao sasa hivi inabidi watumie kivuko wakati wote, tazama hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments