Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: UTAFITI: Madhara ya unene ambayo pengine ulikuwa hauyafahamu
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > UTAFITI: Madhara ya unene ambayo pengine ulikuwa hauyafahamu
Mix

UTAFITI: Madhara ya unene ambayo pengine ulikuwa hauyafahamu

April 26, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Imeelezwa kuwa unene uliopitiliza unasababisha vifo vya mapema zaidi ya vifo vinavyosababishwa na kuvuta sigara, kwa mujibu wa utafiti mpya.

Watafiti kutoka Cleveland Clinic na New York University School of Medicine waliainisha sababu za vifo nchini Marekani wakitumia takwimu za mwaka 2014 na kubaini kuwa unene kupita kiasi ulisababisha vifo kwa 47% zaidi ya tumbaku.

Wakilinganisha data na juhudi za afya ya jamii, watafiti hao walisema tumbaku ingeweza kuongoza list kama isingeweza kuwekewa ukomo wa matumizi ya sigara duniani na kusisitiza kampeni kama hiyo ifanywe pia kupunguza vifo vitokanavyo na unene uliopitiliza.

Dr Glen Taksler, Mtafiti wa masuala ya Dawa kutoka Cleveland Clinic na kiongozi wa watafiti hao alisema: “Matokeo haya yanaendelea kuainisha umuhimu wa kupunguza uzito, kujikinga na kisukari na kula kwa kuzingatia afya.” 

Matokeo hayo pia yaliainisha umuhimu wa kuhudhuria vituo vya afya na kuzingatia vipaumbele vinavyotakiwa kwa ajili ya mwili. “Ukweli ni, wakati tunafahamu sababu za vifo vya wagonjwa, kwa mfano; saratani ya titi au mashambulizi ya moyo, hatufahamu sababu zinazochangia, kama vile  matumizi ya tumbaku, unene kupita kiasi, pombe na historia za familia.” – Dr Taksler.

VIDEO: Makomando wakionyesha uwezo mbele ya JPM kwenye sherehe za Muungano. Bonyeza play kutazama…

VIDEO: Onesho la Mbwa na Farasi kwenye sherehe za Muungano Dodoma. Bonyeza play kutazama…

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: AFYA NEWS, utafiti
Millard Ayo April 26, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Waandishi walioshambuliwa kwenye vurugu za CUF wasimulia
Next Article Staa wa soka England amefungiwa miezi 18 kwa sababu ya Betting
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?