Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Migahawa mikongwe zaidi duniani inayoendelea kutoa huduma hadi sasa
Share
Notification Show More
Latest News
Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
March 23, 2023
DC Jokate Mwegelo awataka hili Wafanyabiashara Wilayani humo ‘Bei za Vyakula’
March 23, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Nyumba/ Mijumba > Migahawa mikongwe zaidi duniani inayoendelea kutoa huduma hadi sasa
Nyumba/ Mijumba

Migahawa mikongwe zaidi duniani inayoendelea kutoa huduma hadi sasa

March 16, 2017
Share
4 Min Read
SHARE

Kwa Tanzania majengo ya zamani utayakuta katika miji mikongwe kama Bagamoyo, Kilwa, Mikindani, Unguja na Tanga ambapo mengi ya majengo yamekuwa yakitumika kwa ajili ya shughuli za kitalii. 

Leo March 16 2017 nimekutana na hii ya migahawa kutoka sehemu mbalimbali duniani ambayo ni mikongwe zaidi na ambayo inaendelea kutoa huduma zake kama kawaida hadi sasa ambapo mgahawa mkongwe zaidi ulijengwa mwaka 803.

1: Stiftskeller St. Peter. – Salzburg, Austria, 803

Huu ndiyo mgahawa mkongwe zaidi duniani ambao umebaki katika miundombinu ile ile ya zamani ambapo ulijengwa mwaka 803 na ulitambuliwa na mwanachuoni Albuin. Baadhi ya sehemu zimefanyiwa marekebisho mara kadhaa lakini kuna baadhi ya sehemu hasa za chakula zimebaki katika sili yake.

2: Bianyifang – Beijing, China, 1416

Kwa sasa Bianyifang haufanyi shughuli zake katika muonekano wa asili lakini bado unatajwa kuwa miongoni mwa migahawa mikongwe zaidi duniani ambayo inaendelea kutoa huduma hadi sasa ambapo ulifunguliwa rasmi mwaka 1416.

3: Zum Franziskaner – Stockholm, Sweden, 1421

Ulianzishwa mwaka  1421 na Watawa wa Kijerumani katika mji wa Old Town Stockholm ambapo Zum Franziskaner umekuwa maarufu kwa watalii wa ndani umefanyiwa maboresho mara kadhaa na muonekano wa sasa ulifanywa mwaka 1906.

4: Honke Owariya – Kyoto, Japan, 1465

Ulianzishwa mwaka 1465 na ndiyo mgahawa mkongwe zaidi Japan na umekuwa ukiwahudumia zaidi watawa na watawala kwa miaka mingi sana.

5: La Tour d’Argent – Paris, Ufaransa, 1582

La Tour d’Argent au “the Silver Tower,” unasemwa ulijengwa na King Henri IV ulianzishwa 1582.

6: Zur Letzten Instanz – Berlin, Ujerumani, 1621

Ulianza kujengwa 1561 lakini haukuendelezwa mpaka 1621 ukiwahudumia karibu kila mtu kutoka Napoleon na Beethoven hadi kwa Angela Merkel na watu wengine wa kimataifa kwa miaka mingi. Jengo la mgahawa huu lilijengwa upya mwaka 1963 baada ya kuharibiwa na Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

7: White Horse Tavern – Newport, Rhode Island, 1673

Unatambulika kuwa mgahawa mkongwe zaidi unaofanya kazi nchini Marekani na ni maarufu sana kwa kuuza samaki kutoka Narragansett Bay ambapo ulianzishwa 1673 ambapo mmoja kati ya wamiliki rasmi wa mwanzo alikuwa ni William Mayes Jr.

8: A la Petite Chaise – Paris, Ufaransa, 1680

Ukilindwa na geti lake la asili ambalo ni chuma katika jiji la Paris, A la Petite Chaise umeendelea kutoa huduma zake tangu kuanishwa kwake mwaka 1680 na Georges Rameau aliyekuwa mfanya biashara ya mvinyo. Mgahawa huu umekuwa makutano ya kisiasa, kijamii na sanaa.

9: Botín – Madrid, Uhispania, 1725

Botín ni mgahawa mkongwe duniani, kwa mujibu wa “Guinness Book of Records.” Katikati ya Madrid ulianzishwa 1725 na ulikuwa sehemu ya mikutano.

10: Fraunces Tavern – New York, N.Y. 1762

Kwa upande wa historia ya Marekani Fraunces Tavern ulikuwa kitovu kikubwa cha kuibadilisha Marekani ambapo mara ya kwanza uliitwa Queen’s Head mwaka 1762 na Samuel Fraunces ambaye aliununua kutoka kwa shemeji wa Meya wa New York City Stephanus van Cortlandt.

VIDEO: Uliikosa hii ya mpango mwingine wa RC Makonda kwa waathirika wa Dawa za Kulevya? Bonyeza play hapa chini kutazama.

You Might Also Like

PICHA 10:Unahitaji Nyumba au kupanga Mikocheni, Palm Village wana habari njema

Forbes wamtangaza Melinda alieachana na Bill Gate kuwa Bilionea mpya, ashika namba hii

VIDEO: Jionee Jengo refu DSM, apartment zake simchezo zinaanzia Million 250

Picha za visiwa 10 vizuri zaidi duniani

Utafiti: Kuanzia miaka 55 watu wengi huchukia ajira zao….sababu?

TAGGED: duniani, Mijengo, Top 10
Millard Ayo March 16, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Majibu ya Waziri Maghembe baada kudaiwa kuvamiwa na wananchi Loliondo
Next Article VIDEOMPYA: Harmonize ametuletea hii ‘Niambie’ Mpenzi wake Wolper yuko ndani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Morgan Heritage kuachia album wasanii 16 washirikishwa
Entertainment March 23, 2023
Baada ya uchaguzi kufutwa Arusha, makada wawili wajitokeza kuchukua fomu yupo mbunge na kada gonga
Top Stories March 23, 2023
Serikali yashauriwa kuongeza Bajeti ya Usimamizi wa Usalama na Afya nchini
Top Stories March 23, 2023
Mohammed Hussein afunguka haya kuhusu kutoitwa kwenye timu ya Taifa, ‘Taifa Stairs’
Sports March 23, 2023

You Might also Like

Sports

Simba SC waingia Mkataba na MobiAd

March 23, 2023
Sports

Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika

March 22, 2023
Sports

Sheria Ngowi kutengeneza jezi za Zanzibar Heroes kwa miaka mitano

March 18, 2023
SportsTop Stories

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

March 17, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?