AyoTV

Video: Rostam walivyofunga jumla jumla Dar live Mbagala

on

Ni Headlines kutoka kwa wasanii wawili wanaounda kundi la Rostam (Roma Mkatoliki & Stamina) ambao usiku wa mkesha wa mwaka mpya walishusha burudani ya nguvu katika viwanja vya Dar live Mbagala Dar es Salaam.

UNAWEZA UKAITAZAME HII VIDEO UJIONEE MAUA SAMA AKIIMBA IOKOTE DAR LIVE MBAGALA

Soma na hizi

Tupia Comments