Ad
Ad

Burudani

Burna Boy ashinda tuzo ya MTV EMA 2019 aliyokuwa akiwania Harmonize

on

Ni headlines za msanii wa Nigeria, Burna Boy ambae Novemba 3, 2019 aliibuka kuwa mshindi wa tuzo ya Best Africa Act ya MTV EMA zilizokuwa zikitolewa huko Seville nchini Hispania.

Wasanii waliokuwa wakiwania tuzo hiyo akiwemo msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize na Teni, Nasty C, PrinceKaybee pamoja na Toofan.

ULIIKOSA HII YA SHANGWE LA MARIOO KWENYE JUKWAA LA FIESTA MTWARA 2019 BASI ITAZAME HII  VIDEO HAPA

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments