Top Stories

Baada ya kuondolewa Ukuu wa Mkoa “Nitakufa nae Rais Magufuli” – Rugimbana (video)

on

Jordan Rugimbana alikua Mkuu wa mkoa wa Dodoma kabla ya juzi Rais Magufuli kufanya mabadiliko na kumuondoa kwenye nafasi hiyo, baada ya kuondolewa anadhani alikosea wapi? anakwenda wapi baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo?

Majibu yote hayo na mengine anayajibu mwenyewe Rugimbana kwenye hii video hapa chini…bonyeza play kumtazama

VIDEO: Alichoagiza Rais Magufuli baada ya Mwanamke kuangua kilio mbele yake… bonyeza play hapa chini kumtazama

Soma na hizi

Tupia Comments