AyoTV

Azam FC walivyowasili Zanzibar tayari kutetea Ubingwa wa Mapinduzi

on

Kikosi cha Azam FC kimewasili visiwani Zanzibar kikiwa na wachezaji 24 kwa ajili ya kutetea Ubingwa wao wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC chini ya kocha wao Mholanzi Hans van Pluijm, Azam FC ambao Mabingwa watetezi wa Kombe hilo walillotwaa mara mbili mfululizo wamekuja na kikosi kamili.

Kocha wao Hans alipoulizwa kuhusiana na michuano hiyo kama atatumia wachezaji wake wa kikosi cha kwanza au atatumia wachezaji wake wa kikosi cha pili, alijibu kuwa amekuja Zanzibar na kikosi kamili cha wachezaji 24 kuwania Ubingwa huo atawatumia kutokana na mahitaji ya game.

VIDEO: Furaha ya ushindi Kocha wa Simba kashangilia hadi kavua shati

Soma na hizi

Tupia Comments