AyoTV

Naibu Spika Dr Tulia na watu wake Mbeya kwenye uzinduzi wa Ngoma za Jadi

on

Kwa mara nyingine tena Naibu Spika Dr Tulia Ackson kupitia taasisi ya Tulia Trust amefanya uzinduzi wa tamasha la ngoma za jadi uliofanyika katika viwanja vya Tandale mkoani Mbeya linalofahamika kwa jina la Tulia Traditional Dances Festival 2017 lengo likiwa ni kuuenzi utamaduni wa Tanzania.

Ulipitwa na hii? “Wanaosema haya maneno msiwasikilize” – Dr Tulia

Hii je? “Kuna wanaume hawataki wake zao wafanye kazi” – Dr. Tulia Ackson

Soma na hizi

Tupia Comments