Top Stories

Picha 7 za tetemeko la ardhi Mexico lililoua watu watano leo

on

Tetemeko kubwa la ardhi la kipimo cha 8.1 limetokea Mexico katika mji wa Pijijiapan saa chache zilizopita na kusababisha vifo vya zaidi ya watu watano na kuharibu miundombinu katika eneo hilo.

Ulipitwa na hii? Yusuf Manji katoka Polisi, amekabidhiwa tena Mahakamani

 

Soma na hizi

Tupia Comments