Habari za Mastaa

Rhino wa The Mafik atinga Geita kisa hili, azungumza haya utata wa kifo cha Mbalamwezi

on

Msanii Rhino wa The Mafik amekujana na Project ya kusaidia kuinua vipaji vya wasanii wa changa ambao hawana uwezo wa kuingia studio na ku record licha ya kuwa na uwezo wa kuimba, Rhino ameanza na kanda ya ziwa kwenye mkoa wa Geita na anasema kila mwaka atasaidia vijana 3 wenye vipaji kusikika.

Pamoja na hilo ameulizwa pia kama anayo taarifa yoyote  kuhusu kifo cha msanii mwenzao Mbalamwezi aliyefariki kifo cha utata mwaka Jana.

Bonyeza Play hapa kutazama Full Interview 

 

Soma na hizi

Tupia Comments