Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

PICHA 10: Muonekano wa Rihanna akiwa kwenye mavazi ya Kiafrika

on

Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia mastaa wa nje ya nchi, maisha yao ya kawaida na kimziki na siku zote nina hakikisha haupitwi na chochote mtu wangu , leo hii nakusogezea picha  za staa wa RnB & Pop  mwanadada Rihanna akiwa na katika muonekano mpya wa kiafrika zaidi.

Licha ya mrembo huyu kuwa staa wa muziki pia Rihanna ni mwanamitindo na amekuwa akitinga pia mavazi ya kiafrika ambayo nimeona pia wewe mtu wangu  uweze kumwona akiwa katika staili hii ya nyumbani, nakusogezea picha 10 uweze kujionea hapa chini.

jalabia-kokotv

Nguo hii imedizainiwa ikiwa na madoa madoa ya mnyama aina ya chuo kwa upande wa nyuma na mikono kama unavyoona

rihana-wears-danski-yeoal

kitambaa cha nguo hii kwa Afrika upendelea kuitwa Makenzi au culture

8f96ceee2b0d099ce61cfa5c637fa32f

Nguo hii imedizainiwa Kinigeria jina Ankara – Fashion – Nairaland

08506694bb9aeac23c7fb6272d9ed277

Gauni hili la kitenge ambalo kwa ndani amevaa na shati la pamba lenye mikono mirefu

13249772_514476698758971_1190269510_n

Gauni hili la mfumo wa pamba lakini pia kwa Afrika ama Tanzania huitwa Dera

untitled

gauni hilila kitambaa cha kinigeria na dizaini ya lemba, na aliye design nguo hii ni mnigeria mwenye jina Chuuzus

txxhtnzer1qgxbdwismc

hii ni nguo imedizainiwa na khanga

rihanna-on-stage-at-t-in-the-park-2013-1373756560-view-0

hii ni aina ya Animal Print ya mnyama Zebra ambayo imeongezewa rangi tu nakuwa njano

article-2431860-1841978400000578-788_634x873

main-rihanna

Gauni hili limetengenezwa na animal print ya Zebra ambayo kwenye colla wameweka manyoya kama unavyoona mtu wangu

ULIMISS HII YA SAUTI SOL KUTAJA WASANII WALIOFANYA NAO COLLABO TANZANIA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments