Premier Bet
TMDA Ad

fB insta twitter

Headlines mpya za mtoto wa pili wa Diamond Platnumz Instagram

on

Siku chache baada ya star mwimbaji Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari kupata mtoto wa pili ambaye alizaliwa December 6 2016 tayari mtoto huyo ameanza kuzichukua headlines baada ya kupewa jina na kufunguliwa akaunti ya Instagram ambayo mpaka kufikia leo imefikisha followers zaidi ya 26.5 elfu.

Zari alijifungua saa 10:35 alfajiri katika Hospitali ya Netcare  Pretoria South Africa, Pamoja na kuwaomba mashabiki wake kumsaidia kupata jina la mtoto wake ambaye ni wa wakiume, Diamond na Zari wameamua kumuita mtoto huyo jina la Riaz Nasib Abdul huku ikisemekana kuwa ni kinyume cha jina la Zari “Riaz”.riaz

Ikumbukwe kuwa mtoto wa kwanza Diamond na Zari, Princes Tiffa amefikisha followers zaidi ya milioni 1 na kuwa mtoto wa kwanza barani Afrika kuweka rekodi hiyo. 
untitled
VIDEO: Diamond alichojibu kuhusu stori za mtoto kuwa sio wake na watoto aliowakuta na Zari.

Soma na hizi

Tupia Comments