AyoTV

VIDEO: Baada ya kushinda tuzo Nigeria hii ndo mipango ya Richie

on

March 2016 Tanzania ilipata ushindi wa tuzo mbili za filamu nchini Nigeria upitia waigizaji Elizabeth Michael (Lulu) na Richie ambapo waliweza kushinda tuzo za AMVCA. Baada ya tuzo Richie ambaye ni moja kati ya washindi ana mipango ipi ili kuhakikisha tunaendelea kupata tuzo kama hizi. AyoTV imempata kwenye exclusive interview na ameeleza kuwa..

>>baada ya tuzo ni kujipanga unajua unapokwenda kushindana lazima uwe na kitu cha kushindana, usiingie hivi hivi, baada ya kitendawili na kalekwa sijatengeneza filamu nyingine hapa katikati kutokana na soko lilivyo, lakini sasa najipanga kutengeneza filamu nyingine ambayo 2018 itaweza kuingia tena. – Richie

Tazama video hapa chini kwa maelezo zaidi>>>

Video:Kama utakwenda Coco Beach leo kusherehekea Xmas hii>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments