AyoTV

Full Video: Mapokezi ya Richie alivyotua Airport Dar na tuzo kutokea Nigeria

on

Hii ilikuwa ni Usiku wa March 5 ambapo staa wa Bongo Movie Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie alivyotua Airport Dar es salaam baada ya kushinda  tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike aliibuka mshindi akiwepo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ingawa hakuongozana katika safari ya kurudi pamoja na Richie.

Full video iliyonaswa na AYO TV unaweza kuitazama hapa….

Watanzania Lulu na Richie walivyoshinda Nigeria kwenye Africa Magic Viewer’s choice Awards..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments