Burudani

Moto wa Rich Mavoko, Ya Moto Band, Mr Blue na Nyandu Tozi FIESTA DSM (+Video)

on

November 25, 2017 historia nyingine imeandikwa kwenye muziki wa Bongofleva nchini Tanazania kupitia Tamasha la FIESTA 2017 ambapo baada ya kuzunguka mikoani Usiku wa November 25 ilikuwa ni zamu ya watu wa Dar es Salaam.

Rich Mavoko, Ya Moto Band, Nyandu Tozi pamoja na Mr Blue ni miongoni mwa wasanii walioandika historia usiku wa huo kupitia Tamasha hilo.

Nimekuwekea video za Mastaa hao kutoka Bongoflevani kwenye Stage ya FIESTA 2017. Usishau pia kuacha comment yako hapa na wakali hawa wataziona hapa.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments