on air with millardayo

ON AIR: Maswali kwa Ridhiwani ikiwemo ile ya kushikwa China, historia yake na mengine

on

Ridhiwani Kikwete ni Mbunge wa Chalinze lakini pia ni mtoto wa Rais wa awamu ya nne Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ambapo amekuja kwenye studio ya Millard Ayo na kukubali kutoa ufafanuzi wa ishu mbalimbali ikiwemo ile ya kushikwa China, historia yake na mengine, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake na Lowassa, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments