Top Stories

Ridhiwani azungumzia hali ya kaka yake kabla ya kifo (+video)

on

Khalfan Selemani Kikwete ambaye ni Kaka mkubwa wa Ridhiwani Kikwete amefariki Dunia. AyoTV na millardayo.com imezungumza na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwa Kikwete ambaye amethibitisha taarifa hizo.

“Alikuwa anajisikia vibaya juzi wakampeleka Hospitali, wakamfanyia vipimo na kuamua kumpumzisha, amelazwa siku moja tu, leo asubuhi zikaja taarifa kwamba amefariki kwahiyo inaonekana hali yake ililuwa inabadilika mara kwa mara ndio kilichopelekea umauti wake, mipango ya mazishi inafanyika pale kwa Mzee Kikwete pale Msasani na mazishi yatafanyika leo” Ridhiwani

Soma na hizi

Tupia Comments