AyoTV

Show ya TV inayoonyesha vituko na makosa madogomadogo ya binadamu kila siku

on

Screen Shot 2014-04-12 at 6.09.46 AMInawezekana tumezoea kutazama sana show za TV ambazo nyingi huwa zinafanana kiasi au kabisa lakini hii inaweza kuwa miongoni mwa zile chache zenye utofauti.

Ni show ambayo inaonekana kukusanya video za matukio yaliyotokea kweli kwenye mishemishe zozote za binadamu iwe ni ofisini, kwenye michezo, barabarani au kwengine.

[youtube youtubeurl=”JqbpJMKbJZg” ][/youtube]

Tupia Comments