Habari za Mastaa

Rihanna karudi kwenye uimbaji, amesikika kwenye single hii ya kwanza ‘Believe it’

on

NI Mwimbaji kutokea nchini Marekani, Rihanna ambae time hii amerudi kwenye vichwa vya habari baada ya kusikika kwenye wimbo mpya aliyoshirikishwa na Partynextdoor uitwao Believe it.

Rekodi hiyo ya Believe it ni single ya Partynextdoor ambayo pia inapatikana kwenye album yake mpya iitwayo PARTY MOBILE.

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza single hiyo mpya ya Partynextdoor akiwa na Rihanna

Soma na hizi

Tupia Comments