Top Stories

Tamko rasmi la Serikali “Tarehe 31 tunafunga laini zote, watu wanaibiwa” (+video)

on

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe ametoa msisitizo kwa Watu kusajili laini zao za simu kwa alama za vidole ili waepuke usumbufu wa kukatiwa Mawasiliano baada ya December 31 mwaka huu.

“Mkasajiliwe kwa alama ya vidole na kitambulisho cha NIDA, mimi sitoi vitambulisho vya NIDA, mimi kazi yangu ni kukata na kuna mazingira maalum kwanini nafanya hivyo, Watanzania wengi wanaibiwa sana kwa kutumia Mtu mmoja ana laini mpaka 100, jamani Tarehe 31”-Waziri Kamwelwe

MASHINDANO YA WANAWAKE YALIYOFANYIKA KWA MARA KWANZA MUSOMA

Soma na hizi

Tupia Comments