Michezo

RIP: Mamelod Sundowns yampoteza mchezaji mwingine

on

Beki wa club ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na timu ya taifa ya Afrika Motjeka amefariki dunia Jumapili ya December 12 2020 akiwa na umri wa miaka 25.

Taarifa hizi za kifo cha Modisha zinakuja ikiwa ni wiki chache zimepita toka club hiyo impoteze pia beki wao wa zamani Anele Ngcongca aliyefariki kwa ajali ya gari.

Motjeka Modisha alizaliwa Januari 12 1995 na alijiunga na Mamelod Sundowns 2016 akitokea Highlands Park, timu ya taifa ta Afrika Kusini amewahi kuichezea michezo 13 (2015-2020).

Soma na hizi

Tupia Comments