Stori Kubwa

Banza Stone alivyozikwa Dar es salaam July 18 2015 ! #RIP

on

Screen Shot 2015-07-18 at 5.47.19 PM

Jana tuliipata taarifa ya kushtua, ilikuwa msiba wa Mwanamuziki ambae kwa Tanzania alikuwa Legend kwenye muziki wa Dansi, Ramadhan Masanja aka Banza Stone… Sauti yake iliwahi kusikika kwenye bendi chache ikiwemo hizi mbili kubwa za Tanzania, African StarsTwanga Pepeta‘ na TOT Plus iliyokuwa inaongozwa na Marehemu Kapteni John Komba.

Leo watu wengi wamekusanyika nyumbani kwao Sinza, kwa ajili ya kumuaga na kumsindikiza Banza Stone kwenye safari yake ya mwisho duniani.

Mazishi yamefanyika kwenye Makaburi ya Sinza Dar es Salaam.

Screen Shot 2015-07-18 at 5.47.26 PM

Screen Shot 2015-07-18 at 5.47.33 PM

Juma Nature, M2theP na Steve Nyerere wakiwa msibani

Screen Shot 2015-07-18 at 5.47.39 PM

Screen Shot 2015-07-18 at 5.47.47 PM

Screen Shot 2015-07-18 at 5.47.53 PM

Swebe pamoja na Wasanii wengine wakiwa msibani.

Screen Shot 2015-07-18 at 5.48.02 PM

Jose Mara wa FM Academia na watu wengine msibani Sinza.

Screen Shot 2015-07-18 at 5.48.11 PM

Screen Shot 2015-07-18 at 5.48.21 PM

Njiani kuelekea makaburini

Screen Shot 2015-07-18 at 5.48.30 PM

Watu wakiwa wamejipanga barabarani Sinza kwa ajili ya kupokea Jeneza kuelekea Makaburini.

Screen Shot 2015-07-18 at 5.48.41 PM

Screen Shot 2015-07-18 at 5.48.49 PM

Wakati wa Mazishi.

Screen Shot 2015-07-18 at 5.49.01 PM

Ali Choki akiwa msibani, waliwahi kuwa Bendi moja na Banza Stone wakati fulani.

Screen Shot 2015-07-18 at 5.49.12 PM

Umati wa watu waliofika kwenye msiba wa Banza, hapa ni makaburi ya Sinza Dar.

RIP Banza Stone, safari yake Duniani itakumbukwa kwa mengi lakini hasahasa ni kazi ya muziki mzuri wenye ujumbe ambao japo leo hatuko nae lakini muziki na ujumbe wake utaishi milele !!

Zaidi ya wiki mbili zilizopita Banza Stone alifanya mahojiano na AyoTV na kuelezea alichokua akiugua, na hii ni baada ya kuzushiwa kwamba amekufa.

Hii ni moja ya kazi nzuri ambazo na yeye alikuwepo ndani, inaitwa ‘MTU PESA’- AFRICAN STARS (Twanga Pepeta)

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments