Featured

Utamfahamu vizuri Marehemu Bi Kidude kwenye Filamu, hiki hapa kipande cha Trailer ya dakika 4.. (Video)

on

RIP Bi Kidude… Jina lake bado lina uzito mkubwa sana Afrika na ataendelea kukumbukwa kama Legend wa Muziki, April 17 2013 ilikuwa siku ya huzuni baada ya kuenea kwa taarifa juu ya msiba wake nyumbani kwake Zanzibar.

Japo umri wake ulikuwa mkubwa sana lakini bado ilikuwa akipanda Jukwaani kila mtu anaenjoy kushuhudia Burudani yake.

Miaka miwili baada ya msiba wake nakutana na kipande cha Trailer Youtube >> ‘I SHOT BI KIDUDE‘>> kikionesha kuna Filamu inahusu maisha yake inakuja… okay, hiki ni kitu kizuri ambacho hata mimi sitopenda kinipite, humo ndani kuna mengi yanayohusu yeye na watu wengi hawayafahamu.

Unaweza kucheki Trailer yenyewe kwenye kipande cha video ya dakika nne mtu wangu, hiki hapa…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments