Top Stories

Kutoka Karimjee Dar alivyoagwa Marehemu Dk. Abdallah Kigoda, mazishi ni leo Tanga

on

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Tanzania, Dk. Abdallah Omar Kigoda uliwasili jana October 14 2015, kutoka India ambako Waziri huyo alifariki wakati akipatiwa Matibabu.

Mwili ulihifadhiwa katika Hospitali ya Kijeshi ya Lugalo Dar e Salaam, leo October 15 2015 mwili wa Marehemu Dk. Kigoda umefikishwa katika Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam ambapo watu mbalimbali wakiongozwa na baadhi ya Viongozi wa Juu wa Serikali, ndugu na jamaa wametoa heshima za mwisho na kumuaga Marehemu Kigoda, safari ikaanza kuelekea Tanga kwa ajili ya Mazishi.

DSC_0219

.

DSC_0223

Baadhi ya Viongozi waliohudhuria kuaga Mwili wa Dk. Kigoda, yuko Mzee Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal, Spika wa Bunge Mama Anne Makinda, Mzee Benjamin Mkapa, Balozi Ombeni Sefue, na Mama Anna Mkapa.

DSC_0224

Hawa nao ni waombolezaji wengine pia.

DSC_0232

Mwili wa Dk. Kigoda ukaingizwa ndani ya Ukumbi kwa ajili ya kuagwa.

DSC_0230

.

DSC_0227

.

DSC_0234

.

DSC_0238

.

DSC_0239

.

DSC_0240

.

DSC_0241

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho.

DSC_0242

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho.

DSC_0243

Spika wa Bunge anayemaliza muda wake, Mama Anne Makinda.

DSC_0244

Rais Mstaafu, Mzee Ali Hassan Mwinyi.

DSC_0245

Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa.

DSC_0246

Mama Anna Mkapa akitoa heshima za mwisho.

DSC_0247

Mwanadiplomasia Dr. Salim Ahmed Salim.

DSC_0248

Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi akitoa heshima za mwisho pia.

DSC_0250

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

DSC_0249

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.

DSC_0251

.

DSC_0252

.

DSC_0254

.

DSC_0260

.

DSC_0262

.

DSC_0263

Mbunge wa Temeke, Abas Zuberi Mtemvu akisalimiana na mmoja wa waombolezaji.DSC_0265 DSC_0267

Mwenyezi MUNGU ampumzishe kwa amani Dk. Abdallah Omar Kigoda.. #RIP

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments