Ad

Mix

Kilichonifikia kuhusu msiba wa Mbunge wa zamani aliyefariki kwenye matibabu Marekani.. #RIP

on

Mwaka 2016 unaanza kukiwa na moja ya mambo makubwa yanayosubiriwa ni kushuhudia Bunge jipya la Serikali ya awamu ya tano linaanza majukumu yake… kumekuwa na taarifa kuhusu kuumwa kwa mmoja wa Wabunge wa Viti maalum CHADEMA, Leticia Nyerere pamoja na taarifa ya kulazwa kwake hospitali Marekani.

Ripoti ya leo January 11 2016 inahusu msiba wa Mbunge huyo wa zamani, Mama Leticia Nyerere ambaye amefariki akiwa Marekani kwenye Matibabu… Mbunge huyo alikuwa viti maalum CHADEMA lakini baadae July 27 2015 alitangaza kuhama CHADEMA na kuhamia CCM.

 

Hizi hapa picha za Rais Magufuli alipoenda kuwapa pole familia ya Mama Maria Nyerere Msasani Dar es Salaam kutokana na msiba huo… Mama Leticia Nyerere alikuwa mkwe wa Mama Maria Nyerere.

jpmama1 jpmama3 jpmama5

#RIP Mama Leticia Nyerere.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments