Ad
Ad

Top Stories

RIPOTI: Rushwa ya ngono kwa Waandishi wa habari “ni wahanga wanashindwa kufanya kazi” (+video)

on

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini Tanzania (TAMWA) kimetoa matokeo ya utafiti mdogo kuhusu rushwa ya Ngono katika Vyumba vya Habari.

Miongoni mwa yaliyobainika katika utafiti huo uliofanyika katika baadhi ya vyombo vya Habari DSM imebainika ya kwamba rushwa ya ngono inachangia kushusha utendaji kazi kwa Waandishi wa Habari.

UWEZO WA AJABU, MTU MZIMA ANAYEONGEA SAUTI YA KITOTO “PEPO HILO SHINDWA, WEWE JINI MTOTO”

Soma na hizi

Tupia Comments