AyoTV

FULLVIDEO: Ripoti ya kamati ya Waziri Nape kuhusu Makonda kuvamia Clouds Media

on

Kamati iliyoundwa na Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na Michezo, Nape Nnauye kuchunguza sakata la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia Clouds Media akiwa na askari wenye silaha imekabidhiwa kwa waziri Nape Nnauye, Bonyeza hapa chini kuitazama video

VIDEO: Meya Jacob alivyowasilisha malalamiko tume ya maadili dhidi ya RC Makonda, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments