Habari za Mastaa

Rihanna anapokutana na watu wake

on

Rihanna takes a young fan under her umbrella on a rainy night in NYCKatika wale mashabiki wenye mapenzi na hisia basi na huyu yumo, ni mtoto ambae ni shabiki mkubwa wa RiRi na walikutana wakati mwimbaji huyu akitoka kucheki game ya The Heat vs Nets Barclays Center New York Marekani.

Rihanna alimvuta shabiki huyu chini ya muamvuli wake na kumkumbatia vizuri.

Rihanna takes a young fan under her umbrella on a rainy night in NYC

Rihanna takes a young fan under her umbrella on a rainy night in NYC

Tupia Comments