Habari za Mastaa

Huyu ndiye anaweza kuwa mrithi wa Chris Brown kwa Rihanna?

on

rihanaaaaaaa
Badgalriri kama anavyojiita kwenye instagram ameweka wazi hisia zake juu ya huyu jamaa ambaye ni mchezaji wa American football.

Siku ya jumatatu alipost picha ya mchezaji wa Philadelphia Eagles “Mychal Kendricks” na kuandika “Is it Monday?…coz chhh..#MCM”.

MCM maana yake ni Man Crush Monday na mitandao mingi huko Marekani imeandika huenda Rihanna akaanzisha uhusiano na mchezaji huyu kutokana na kuwa na historia ya ku-date na mchezaji mwingine American football.

rihanarihana2

Tupia Comments