Habari za Mastaa

Rihanna na Drake waonekana wakijiachia pamoja ndani ya Paris

on

RIRI
Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.

Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia  show ya Drake usiku huo.

Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia.

Tupia Comments