Mix

Risasi za kifua ndio chanzo cha kifo cha Rapper Pop Smoke Madaktari wathibitisha

on

FEB 19,2020 iliripotiwa taarifa kuuwawa kwa Rapa chipukizi kutokea Marekani Pop Smoke baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake mjini Hollywood Hills

Sasa leo Madaktari wametoa cheti cha kifo cha Rapper huyo kinachosema kwamba walijaribu kuokoa maisha ya Rapper huyo lakini tayari alikuwa amepata majeraha makubwa kifua ndipo umauti ukamkuta.

Mwili wa Rapper baada ya kufanyiwa uchunguzi utasafirishwa kurudi mjini Brooklyn kwaajili ya Mazishi.

Tupia Comments