Top Stories

Risasi zarindima Kinondoni, Polisi na Majambazi ‘Askari kamuua’ (Video+)

on

Usiku huu katikati ya Mtaa wa Tunisia na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jeshi la Polisi limefanikiwa kumuua jambazi aliekua silaha na silaha aina ya Bastola, Kamamda Kinondoni Kingai amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la kuuawawa jambazi.

Soma na hizi

Tupia Comments