Habari za Mastaa

PICHA 7: Madame Rita kaingia kwenye utangazaji na show yake ya TV kuonekana soon

on

Kwa miaka yote Tanzania imemjua kupitia show ya Bongo Star Search akiwa kama Jaji ambayo mara yake ya mwisho ilikua inaonekana kupitia CloudsTV, leo hii Madame Rita anayofuraha kuwaambia Watanzania kwamba anaingia na kwenye utangazaji.

r2

Muonekano wa studio kunakofanyika show ya RPS

Show hiyo mpya ya Rita Paulsen ambayo itaanza kuonekana soon kwenye AzamTV inaitwa Rita Paulsen Show au RPS  na June 12 2016 ndio imetajwa kuwa terehe yenyewe.

r3

Rita Paulsen na crew yake

r5

Studio

r6

Studio

R1

Studio

R7

Wakati studio inajengwa

ULIIKOSA YA VANESSA MDEE KUHUSU BEEF NA SHILOLE? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments