Habari za Mastaa

Mashabiki wana vituko vyao, sikiliza hii iliyomkuta R.kelly akiwa kwa daktari wa meno! – (Audio)

on

<> at Skylight Clarkson Sq on July 14, 2015 in New York City.R.kelly ni msanii mkubwa wa RnB, producer, mtunzi wa nyimbo na mfanyabiashara kutoka Marekani ambaye anafahamika kwa nyimbo zake nyingi zikiwemo Snake, Trapped in the closet (series edition), Storm is over na nyingine.

Sku chache zilizopita, R.kelly alifanya interview na radio station moja ya Marekani kuzungumzia kazi zake pamoja na Tour anayokaribia kufanaya hivi karibuni.

kellz3Miongoni ya maswali aliyoulizwa R.kelly ni kituko gani cha ajabu alichowahi kufanya shabiki ambacho hawezi kuja kukisahau, R kelly alikuwa na haya ya kusema…

kellz>>>“kipindi fulani nilienda kwa daktari wa meno, kulikuwa na nesi mmoja wa kizungu ambaye mume wake ndio daktari mwenyewe wa meno, yule nesi alijua siku hiyo nitakuja akajiandaa na nini, nimefika pale tukaingia ndani akafunga mlango…daah akaniomba niweke signature yangu kwenye matiti yake… nilisign bila kuyagusa…sikuyagusa!!” <<< R.kelly.

Msikilize akielezea jinsi ilivyokuwa hapa chini kwenye hii sauti.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments