Habari za Mastaa

Kwanini Roma hayupo tena Instagram? ataja matatu ya JPM… (video)

on

Msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki amekaa kwenye On AIR with Millard Ayo na kufunguka ishu mbalimbali baada ya tukio lake la kutekwa, kwanini hayupo tena Instagram? mambo matatu aliyoyaona kwa Rais Magufuli na mengine, bonyeza play hapa chini kutazama kila kitu.

VIDEO: Alichoongea Diamond Platnumz baada ya Rayvanny kushinda tuzo BET, bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments