Michezo

Ball Possession, team top 5 passing na uchambuzi mwingine wa Real Madrid vs Atletico Madrid

on

Screen Shot 2014-05-25 at 1.49.57 AM

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Super Sport

Screen Shot 2014-05-25 at 1.49.33 AMNi game ambayo iliisha kwa Real Madrid kushinda 4-1 ambapo magoli matatu ya mwisho yalifungwa kwenye Extra Time na Bale, Marcelo na Ronaldo baada ya goli la Ramos kwenye dakika ya 90 +3 huku goli pekee la Atletico Madrid likifungwa na Diego Godin kwenye dakika ya 36.
Unataka stori kama hizi zisikupite? ni haki yako kutumiwa kila kitu na mimi, jiunge na mimi twitter instagram na facebook kwa kubonyeza hapa >>> TWITTER INSTAGRAM FACEBOOK ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

Tupia Comments