Habari za Mastaa

Ni time ya kuenjoy hii remix ya single ‘Samaki’ kutoka kwa Lina & Billnass

on

Ni August 8, 2016 ambapo wasanii wawili Lina & Billnass wameachia hii remix ya single iitwayo Samaki ambao hapo awali uliimbwa na  msanii Galatone.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza wimbo huo

KAMA ULIIKOSA HII YA IDRIS SULTAN KUVUNJA MBAVU WATU KWENYE FUNNY FELLAS BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments