Habari za Mastaa

AUDIO: Weasel & Radio wamekutana na Dogo Janja kutengeneza hii Remix ya ‘My life’

on

Baada yakuuvunja ukimya kwa hit single ya ‘My LifeDogo Janja kutoka Tip Top Connection amekutana na wakali kutokea pande za Uganda, Weasel na Radio na wakaifanya hii remix ya ‘My life’, unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini…..

ULIKOSA HII EXCLUSIVE YA DOGO JANJA KUWA HATOSAHAU HAYA YA SHULE, MUZIKI NA MAISHA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments