Habari za Mastaa

Nandy na Ray C waandikiana Mtandaoni: “Sitokusalimu ila nitakuheshimu”

on

Kumetokea kuandikiana kwenye mtandao wa Instagram baada ya Mwimbaji Mkongwe Ray C kuandika na kusema hajapendezwa na kitendo cha Nandy kuimba copy ya nyimbo za Ray C kwenye Tamasha la Fiesta.

Baada ya Ray C kumuonya Nandy asiendelee tena kuimba hizo nyimbo, Nandy nae alimjibu kwa hekima na kusema kuwa hakuwa na nia mbaya na amekua akifanya hivyo kuwaenzi Wakongwe ambao ndio wamewafungulia njia.

Kupata details zote bonyeza play hapa chini pia na kuona kila walichoandikiana….

VIDEO: Show ya Diamond Zanzibar, amuongelea Zari na dongo la Instagram, bonyeza play hapa chini kujionea

UNATAKA KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI? Breaking NEWS, Za Mastaa, Siasa, Michezo na nyingine…. fanya jambo moja tu rahisi… BONYEZA PAGE ZIFUATAZO ili nikutumie kila kitu kiganjani mwako >>> INSTAGRAM <<<< FACEBOOK >>>> TWITTER  <<<< YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments