Mix

VIDEO: Ronaldo kaenda hotelini kunywa chai… atamaliza kikombe? kuna dakika 4 za watu baada ya kumshtukia

on

Cristiano Ronaldo ni staa wa soka duniani…. uzito wa jina lake umewafikia hata wasio mashabiki wakubwa wa soka, tazama hii video hapa chini jinsi alivyokwenda kunywa chai kwenye Mgahawa wa kibiashara, mashabiki wakashtukia kwamba tuko kwenye breakfast na Ronaldo… itakuaje? tazama hii video hapa chini…

ULIIKOSA SEHEMU YA KWANZA YA MOVIE YA MATRON ALIYEMZIMIA KIMAPENZI MWANAFUNZI KWENYE SHULE YA BOARDING? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI….

https://www.youtube.com/watch?v=bFp4y3bgu0U

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments