Picha 12 za muonekano wa barabara za Jiji la Dar es salaam leo
Share
1 Min Read
SHARE
Hapa ni barabara kama unatokea Kinondoni Mkwajuni kwenda Morocco Hotel.
Kuna time nyingine ukikatisha barabara kubwa za Dar hukutani na foleni kabisa mara nyingi asubuhi na jioni foleni huwa ni kubwa lakini wakati mwingine hata mchana pia barabara hazipitiki.
Leo nimekatisha maeneo ya Magomeni, Ubungo, na Kinondoni kati ya saa saba mchana mpka saa tisa jioni hali ilikuwa shwari kabisa barabarani.
hapa ni kwenye mataa ya Magomeni
Mwonekano wa upande mwingine toka juu ya Daraja la Manzese.
Mwonekano toka juu eneo la Manzese, magari yapo barabarani lakini ni machache.Magomeni Kagera
Barabara ya Sam Nujoma, hapa ni kama unatokea Ubungo kwenda Mlimani City.