Michezo

Robert Lewandowski mchezaji bora UEFA 2019/20

on

Mshambuliaji wa FC Bayern Munich ya Ujerumani Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kiume Ulaya 2019/20 (UEFA Men’s Player of The Year).

Wakati Kocha Hans Flick wa FC Bayern Munich kwa upande wake ndio ametangazwa kuwa kocha bora wa msimu wa UEFA 2019/20, Hans ameshinda kila mechi UEFA.

Soma na hizi

Tupia Comments