Ad

Michezo

Rocky City Marathon 2020 imehitimishwa leo

on

Mbio za marathon zinazofahamika kwa jina la Rock City Marathon 2020 zimehitimishwa hii leo jijini Mwanza.

Hii ni mara ya tatu kwa Marathon hizo kufanyika jijini Mwanza na zimeendelea kukuwa na kupewa sapoti na wadau na kampuni mbalimbali kwa lengo la kuhamasisha wengi kujitokeza.

“Mbio hizi kwa ujumla zinazidi kukuwa kila mwaka sababu idadi ya watu mwaka huu imeongezeka kwa asilimia 40”>>> John Bayo


Soma na hizi

Tupia Comments