Habari za Mastaa

Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi ampa makavu “Badilika,kila siku kusema Watu”

on

Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki ameamua kumtolea uvivu msanii mwenzie Nikki Mbishi baada ya kudai kuwa amekuwa akimsema kwa zaidi ya miaka mitano, Roma ambaye amemwambia Nikki Mbishi abadilike na aache tabia yake ya kusema wasanii wenzie vibaya.

 

MWIJAKU ATHIBITISHA HARMONIZE KANUNUA JUMBA LA KISASA “AMENUNUA BILIONI 1.5, GHOROFA MOJA”

MWIJAKU AFICHUA MENGINE KUHUSU KAJALA NA HARMONIZE “LOLOTE LINAWEZEKANA, WALIKUA WAFUNGE NDOA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments