Video Mpya

Roma kasimulia ilivyovunjika ndoa ya Stamina ‘Stamina anamatatizo’

on

Baada ya Stamina kuachia video ya wimbo wake mpya unaohusisha story ya maisha yake ya ndoa, mtu wake wa karibu na msanii mwenzake Roma Mkatoliki ambaye pia alikuwa msimamizi wa harusi yake amefunguka kupitia kipindi cha XXL ya Clouds FM na kuelezea ilivyokuwa mpaka ndoa hiyo ikavunjika.

Roma amesema inakaribia mwaka sasa toka mke wa Stamina alivyoondoka nyumbani kwa mumewe huku yeye na mke wake wakiwa wameshashiriki mara kadhaa kuwapatanisha Stamina na mkewe lakini ikashindikana.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza ROMA akieleza zaidi.

ROMA HAJAIPENDA MISTARI HII YA WIMBO WA STAMINA “AMENIKERA, AMEONGEA VITU VIKALI SANA”

Soma na hizi

Tupia Comments