Habari za Mastaa

Baada ya Kimya cha kimuziki,huu ndiyo ujio mpya wa Roma Mkatoliki.

By

on

IMG-20140307-WA0014Roma ni miongoni mwa wasanii ambao wanatoa nyimbo chache sana kwa mwaka mzima au pengine katika mwaka mzima akatoa wimbo mmoja tu,kumbukumbu ya wimbo wa mwisho kuuachia ulikua unaitwa 2030 ambao ulitoka mwishoni mwa mwaka 2012.

IMG-20140307-WA0017(1)Huu ni ujio wake mpya ambao umekuja na  wimbo mpya ambao ameupa jina la KKK,kirefu na maana halisi amesema atakuja kuelezea siku ya kuuachia wimbo rasmi tarehe 10 March 2014 ambayo ni Jumatatu ijayo,hiki ni kipande anachoelezea kwa ufupi.

Bonyeza play kusikiliza kionjo cha wimbo huo.

Tupia Comments